Thierry Henry Mbioni kurejea Arsenal Thierry Henry Mbioni kurejea Arsenal

Nyota wa zamani wa Arsenal Thierry Henry ameiaga timu yake ya New York Red Bulls aliyokuwa anaichezea baada ya mkataba wake kuisha . ...

Nyota wa zamani wa Arsenal Thierry Henry ameiaga timu yake ya New York Red Bulls aliyokuwa anaichezea baada ya mkataba wake kuisha .

Henry ameichezea Red Bulls kwa muda wa miaka minne na nusu na inadhaniwa kuwa huenda akatangaza kustaafu soka baada ya kuwa kwenye mchezo huo kwa karibu miaka 20 .


Henry ambaye katika ubora wake aliwahi kuzichezea timu za As Monaco , Juventus , Arsenal na Fc Barcelona ukiachilia mbali timu ya taifa ya Ufaransa alinukuliwa akisema kuwa angependa kurejea kwenye klabu yake ya zamani ya Arsenal ambako inaaminika kuwa atajiunga na benchi la ufundi chini ya kocha wake wa zamani Arsene Wenger .
henry
Moja ya ishara zilizowapa watu sababu ya kuamini kuwa huenda kuna mpango wa nyota huyo kurejea Arsenal ni kitendo chake cha kubadili picha ya ukurasa wake rasmi wa mtandao wa kijamii wa Facebook ambapo alitoa picha inayomuonyesha akwia amevalia jezi ya New York Red Bulls na kuweka picha ya uwanja wa nyumbani wa Arsenal The Emirates Stadium .
Timeline ya ukurasa rasmi wa facebook wa Thiery Henry ikionyesha uwanja wa Emirates unaotumiwa na Arsenal .
Timeline ya ukurasa rasmi wa facebook wa Thiery Henry ikionyesha uwanja wa Emirates unaotumiwa na Arsenal .
Henry hadi leo anashika nafasi ya nne kwenye orodha ya wafungaji bora wa ligi kuu ya England katika historia ya ligi hiyo na amewahi kutwaa mataji karibu yote kluanzia kombe

Related

Transfer News 2468641072081025056

Post a Comment

emo-but-icon

Recent

Hot in week

item