NZAE QUEEN KYOMO ataka michezo ithaminiwe
BINGWA wa zamani wa mashindano ya riadha ambaye alinyakua medali ya dhahabu na SHABA ya mashindano ya ALL AFRICAN GAMES miaka ya THEMAN...
https://zindukaleo.blogspot.com/2014/11/nzae-queen-kyomo-ataka-michezo.html
BINGWA wa zamani wa mashindano ya riadha ambaye alinyakua medali ya
dhahabu na SHABA ya mashindano ya ALL AFRICAN GAMES miaka ya THEMANINI
mtanzania NZAE QUEEN KYOMO ametaka michezo ithaminiwe kwani ni utajiri
kwa kwa nchi za Ulaya
KYOMO amesema watanzania wawekeze kwenye michezo ili iwaletee maendeleo.
KYOMO anatarajia kuendesha tamasha la michezo katika viwanja vya chuo kikuu cha DSM ama LUGALO, kwa lengo la kuibua vipaji kwa vijana.