Kama umepitwa na habari kuhusu vitambulisho vya uraia,
omwonyesha Rais Picha nyingi zimeanza kuenea mitandaoni tangu juzi zikimuonyesha Rais Kikwete akitoka Hospitali baada ya kup...
https://zindukaleo.blogspot.com/2014/11/kama-umepitwa-na-habari-kuhusu.html
omwonyesha RaisPicha
nyingi zimeanza kuenea mitandaoni tangu juzi zikimuonyesha Rais Kikwete
akitoka Hospitali baada ya kupatiwa matibabu ya upasuaji wa Tezi Dume.
Leo nimekuwekea video hii ambayo
nimeitoa kwenye blog ya Issa Michuzi, inayomwonyesha Rais akiwa
anatembea kutoka Hospitali ya Johns Hopkins, Maryland Marekani alikokuwa
anapatiwa matibabu hayo.
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza

