ADEBAYOR asema wachezaji wenzie wanaogopa kucheza uwanja wa nyumbani
MSHAMBULIAJI wa TOTTENHAM,c, amesema kuwa wachezaji wenzake wa klabu hiyo wanaogopa kuchezea katika uwanja wao wa nyumbani kutokana na ke...
https://zindukaleo.blogspot.com/2014/11/adebayor-asema-wachezaji-wenzie.html
MSHAMBULIAJI wa TOTTENHAM,c, amesema kuwa wachezaji wenzake wa klabu
hiyo wanaogopa kuchezea katika uwanja wao wa nyumbani kutokana na kejeli
zinazotolewa na mashabiki wa klabu hiyo kwa wachezaji katika uwanja wao
wa WHITE HART LANE.
ADEBAYOR amesema kutokana na kejeli hizo zinawafanya wachezaji wenzake kuwaathiri kisaikoloji.
Wachezaji wa TOTTENHAM walizomewa na mashabiki wao baada ya kufungwa nyumbani na STOKE CITY siku ya JUMAPILI ambapo walifungwa magoli MAWILI kwa BILA.
TOTTENHAM imeshindwa michezo MINNE kati ya SITA walizocheza katika uwanja wao msimu huu.