Hiki ndicho alichokisema Laveda baada ya tuhuma za kujichuwa ndani ya BBA
Mshiriki wa BBA 2014 Laveda kwa mara ya kwanza amezungumza na soso fresh ya Clouds Fm inayoongozwa na Fetty na kufunguka juu ya story zi...
https://zindukaleo.blogspot.com/2014/11/hiki-ndicho-alichokisema-laveda-baada.html
Mshiriki wa BBA 2014 Laveda kwa mara ya kwanza amezungumza na soso fresh
ya Clouds Fm inayoongozwa na Fetty na kufunguka juu ya story zilizopo
mtaani zinazodai kuwa mshiiriki mwezake kutoka Bongo Idris alikasirishwa
na kitendo cha kumkuta akijichua mara baada ya kupiga mitungi live
kupitia runinga za Africa
Laveda amesema kuna miss information kubwa sana kwenye media, hasa pale
mtu anapoongea kila mtu anakuwa anadaka yale madai anayoongea na kusema
kuwa Idris alikasirishwa na msichana mwingine na wala haikuwa yeye
aliemkasirisha.
unajua pale BIg Brother wanakuwa wanaficha brands zote sasa sijui labda
kuongea kuhusu vivutiio ya nchi yangu na pia kuongea na ma housemate
wangu kwamb abaada ya big brother tutafanya hivi na hivi because i was
so impressed ..........so i think ile pia imecheza
msikilize zaidi hapa chini

