Mashabiki walichomfanyia Ali Kiba Kigoma na nyumba ya mzee Majuto akistaafu kuigiza viko hapa.
AyoTV imeanza kuzitoa stori zake ambazo zitakua zinakujia kila wiki kupitia na kwenye YouTube pia ikiwa ni mchanganyiko wa zo...
https://zindukaleo.blogspot.com/2014/11/mashabiki-walichomfanyia-ali-kiba.html
Kwenye hii post nimekuwekea stori 3 ambazo ni mashabiki walichomfanyiwa Ali Kiba kwenye show ya Fiesta Kigoma, Nyumba anayoijenga Mzee Majuto kwa ajili ya kuishi akistaafu kucheza movie pamoja na jinsi Feza Kessy anavyolipwa Afrika Kusini.

