Victoria Kimani kudondodha "Show" tarehe 18
Mwanadada Victoria Kimani kutoka 254 Kenya, anatarajia kuachia mdundo mpya baada ya prokoto alioufanya na Diamond na Ommy Dimpoz ...
https://zindukaleo.blogspot.com/2014/11/victoria-kimani-kudondodha-show-tarehe.html
Mwanadada Victoria Kimani kutoka 254 Kenya, anatarajia kuachia mdundo mpya baada ya prokoto alioufanya na Diamond na Ommy Dimpoz
Ngoma hiyo aliyoipa jina la "Show" anatarajia kuiachia tarehe 18 ya
mwezi huu. Inavyoonekana ameshoot video hiyo kwenye mapango..angalia
picha chini
Coming out the cave babyyyy New Single drops NOV. 18th .... #SHOW
My
favourite photo shoots are in the wild nature .... lets go far to paint
this picture.... Thank you to this amazing photographer @radekartphoto for my new pictures ! Can't wait for you guys to see them all #ParadiseLost#Kenya #SHOW New single out NOV 18th ��

