CCM kuanza ziara mkoa wa LINDI na MTWARA

                                Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, NAPE NNAUYE   Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi –CCM ABDULRAHMAN ...

                                Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, NAPE NNAUYE
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi –CCM ABDULRAHMAN KINANA anatarajia kuanza ziara ya siku 16 katika mikoa ya LINDI na MTWARA.

Akizungumza na waandishi wa habari mjini DSM Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, NAPE NNAUYE amesema ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara ya sekreritariet ya halmashauri kuu ya Taifa ya CCM kujenga na kuhimiza uhai wa chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 -2015.

Katika ziara hiyo KINANA anatarajiwa kusikiliza changamoto zinazowakabili wananchi ikiwa ni pamoja na kupata fursa ya kufanya mikutano ya ndani na ya hadhara.

Related

News 8618365803767139962

Post a Comment

emo-but-icon

Recent

Hot in week

item