KIKUNDI cha uchekeshaji cha ORIJINO KOMEDI kufanya onyesho maalum kanda ya ziwa
KIKUNDI cha uchekeshaji cha ORIJINO KOMEDI KIKUNDI cha uchekeshaji cha ORIJINO KOMEDI kitafanya...
https://zindukaleo.blogspot.com/2014/11/kikundi-cha-uchekeshaji-cha-orijino.html
KIKUNDI cha uchekeshaji cha ORIJINO KOMEDI
Mwakilishi kutoka TIGO, EDWIN MGOA amesema,tamasha hilo litahusisha kundi hilo pamoja na wasanii wengine akiwemo MWANA FA na FID Q.
Tayari onyesho hilo limefanyika katika mikoa ya KAGERA, KILIMANJARO, ARUSHA, IRINGA, DODOMA na MBEYA

