Wakuu wa mikoa watakiwa kuacha migongano ya kisiasa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na vikosi maalum vya Serikali ya Mapinduzi ZANZIBAR - HAJI OMARY KHERY amewaagiza wakuu...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na vikosi maalum vya Serikali ya Mapinduzi ZANZIBAR -

HAJI OMARY KHERY amewaagiza wakuu wa mikoa , wakuu wa wilaya na makatibu tawala nchini kuacha migongano ya kisiasa katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku.

Waziri KHERY ametoa kauli hiyo Mjini UNGUJA wakati akifunga warsha maalum inayohusu kujenga mahusiano na mashirikiano kwa watendaji wakuu wa mikoa , wilaya na makatibu tarafa iliyoandaliwa na Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI .

Related

News 2099466058094438117

Post a Comment

emo-but-icon

Recent

Hot in week

item